Rudi Nyuma
INAUZWA
1 / 2
Ghorofa ya Kisasa Inauzwa
Masaki, Dar es Salaam
TZS 620,000,000
Maelezo ya Kina
4. Nyumba ya kisasa inauzwa ikiwa kwenye eneo tulivu sana, lina ulinzi wa kutosha na huduma zote za kijamii zinapatikana. Ina vyumba vikubwa vyenye mwanga wa kutosha.
Sifa za Eneo
Floors: 2
Bedrooms: 5
Size Sqm: 420
Title Deed
Swimming Pool


